Mh: Felix Lyaniva
azindua kamati ya ujenzi wa kituo kisasa cha polisi katika kata ya Chamazi. Katika
uzinduzi huo Mh: DC alisema kuimalika kwa ujenzi wa Kituo hicho kutaimarisha
ulinzi na kutokomeza vitendo vya uhalifu mbalimbali.
Hata hivyo Mh:DC
amewaasa na kuwatia moyo watendaji wa kamati hiyo kufanya kazi kwa weledi,uaminifu
na uwazi ili kufikia malengo waliyojiwekea.
Ujenzi wa kituo cha
polisi kata ya Chamazi unajengwa na
wadau mbalimbali wa Temeke ili kutokomeza vitendo vya uhalifu na kuweka ulinzi
madhubuti katika kata hiyo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni