Mapema
leo mkuu wa wilaya ya Temeke Mh:Felix Lyaniva afanya ziara katika kitengo cha
habari Manispaa ya Temeke.
Akiwa katika ziara hiyo aliwapongeza wana
kitengo kwa juhudi na ubunifuwao wa kuhabarisha umma kwa wakati na kwa kutumia njia
mbalimbali za mitandao ya kijamii vizuri.
Aidha
M:Lyaniva alishauri kudumisha uhusiano
mzuri na vyombo vingine vya habari pamoja na taasisi za serikali ili kuongeza
wigo mpana wa kufikia wananchi kwa wingi na wakati sahihi.
Hata hivyo mkuu wa wilaya aliwasihi waendelee
kufanya kazi kwa umoja ,weledi na ufanisi mzuri ili jamii iweze kupata habari
za uhakika na kwa wakati sahihi.
Kwa
habari za uhakika tufatilie kupitia:
Website:
www.temekemc.go.tz
Facebook:
TemekeManispaa
Twitter: temekeManispaa1
Blog: manispaatemeke.blogspot.com
Onlinetv: youtube
TMCTV
Kwa
maoni na ushauri tuandikie kupitia:
Baruapepe:
temeke@temekemc.go.tz
S.L.P
46343 DSM
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni