Elisa Kassim Mtalawanje aapishwa kuwa diwani mpya wa kata ya kijichi.
Sherehe
hizo za kuapishwa zilifanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Manispaa Iddi Nyundo na kuhudhuriwa
na madiwani wa kata mbalimbali za Manispaa ya Temeke, pamoja na mwenyekiti wa CCM wilaya ya Temeke Bi.Aumisia Zali na wakuu
wa idara na vitengo.
Mtarawanja ambaye alitangazwa kuwa mshindi na
Mkurugenzi wa Manispaaya Temeke katika uchaguzi uliofanyika Nov 27, nakujipatia
ushindi huo kwa kura 2658 kupitia chama cha CCM, ameapishwa mapema leo mbele ya mwanasheria.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni