KATIKA KUAZIMISHA SIKU YA KUMBUKUMBU YA HAYATI BABA WA TAIFA MWL JULIUS K NYERERE, AMBAPO KILA MWAKA HUKUMBUKWA IFIKAPO 14/10/2017.
MANISPAA YA TEMEKE KWA KUSHIRIKIANA NA VILABU VYA MAZOEZI (TEJA) WAMEANDAA TAMASHA KUBWA LA MICHEZO, SPORTS BONANZA LITALOFANYIKA KATIKA VIWANJA VYA UHURU KUANZIA SAA 12:30 ASUBUHI. SIKU YA JUMAMOSI.
TAMASHA HILO LITAHUSISHA OFISI YA MKUU WA WILAYA NA WATUMISHI WOTE WA WILAYA HIYO.
MGENI RASMI ATAKUA MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM MH;PAUL MAKONDA
NYOTE MNAKARIBISHWA.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni