Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke anasikitika kutangaza kifo cha aliyekua Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke kuanzia mwaka 2013 hadi 2016 kilichotokea tarehe 25/07/2018 Ndg: Photidas Kagimbo.
Kilichotekea katika hospitali ya taifa muhimbili.
"Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe. Amen"
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni